Entries by ulizasheria

4. Wadau wa Sheria za Barabarani – Waenda kwa Miguu

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Barabara kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Ukurasa huu maalum unakuletea uchambuzi wa Sheria mbalimbali zinazohusiana na barabara. Kila siku kuna matukio mengi sana yanaendelea barabarani, lakini si watu wengi wanaojua taratibu zinazopaswa kuchukuliwa ili kushughulikia matukio hayo. Katika makala iliyopita tulijifunza juu […]

Ujue Mfumo wa Mahakama

Utangulizi Mahakama ni chombo muhimu sana katika ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Mahakama ni nguzo muhimu sana katika kuhakikisha haki ya wananchi na jamii ya ujumla inalindwa na kutekelezwa ipasavyo. Zimekuwepo changamoto nyingi sana kwa jamii kufikia mfumo huu wa mahakama na kupata kutatuliwa shida zao. Hali hii imesababisha watu kudhulumiwa haki zao […]

91. Mamlaka ya mwajiri wa ubia au kampuni katika kusitisha ajira

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Tumeendelea kujifunza changamoto mbalimbali zinazotokea katika mahusiano ya kiajira na kuzitafutia ufumbuzi kwa lengo la kuboresha mahusiano ya kiajira. Katika makala iliyopita tumeona juu ya mamlaka ya mwajiri binafsi na changamoto zinazoambatana nazo. Leo tunakwenda kuangalia kwa mfano juu ya […]

Sheria Leo. Ufanye nini unapozungushwa kupewa hukumu ya kesi yako?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea maswali ya wasomaji na wadau wengi kuhusiana na changamoto mbalimbali wanazokutana nazo katika […]

90. Nani mwenye mamlaka ya kusitisha ajira ya mwajiriwa?

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Tumeendelea kujifunza changamoto mbalimbali zinazotokea katika mahusiano ya kiajira na kuzitafutia ufumbuzi kwa lengo la kuboresha mahusiano ya kiajira. Katika makala iliyopita tumeona utangulizi wa kujua nani mwenye mamlaka ya kusitisha ajira ya mwajiriwa. Tumejifunza juu ya tofauti za mtu […]

89. Nani mwenye mamlaka ya kusitisha ajira ya mwajiriwa?

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Tumeendelea kujifunza changamoto mbalimbali zinazotokea katika mahusiano ya kiajira na kuzitafutia ufumbuzi kwa lengo la kuboresha mahusiano ya kiajira. Leo tunakwenda kuangalia changamoto ya mamlaka ya kusitisha ajira ya mwajiriwa. Karibu tujifunze. Swali ya Msomaji wa Uliza Sheria Makala hii […]

88. Ufanye nini endapo mfanyakazi haonekani kazini pasipo ruhusa?

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Moja ya changamoto ambayo imekuwa ikiwakuta waajiri ni suala la wafanyakazi kuondoka kazini na kutoonekana kwa siku au miezi kadhaa pasipo taarifa au mawasiliano yoyote. Hali hii imeibua maswali mengi na hatma ya wafanyakazi kama hawa. Nimekuandalia makala hii kujibu […]

87. Ukomo wa Muda kwa madai ya Likizo

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Kama tulivyoona katika makala iliyopita juu ya ukomo wa muda kwa madai ya saa za ziada, kadhalika changamoto hiyo inaonekana katika madai ya likizo. Eneo la likizo pia limekuwa na changamoto hasa katika madai yake. Nimekuandalia makala hii siku ya […]

86. Ukomo wa Muda kwa madai ya Saa za Ziada

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Moja ya changamoto ambazo zimekuwa zikiwasumbua wafanyakazi na waajiri ni suala la malipo ya saa za ziada. Nimepata maswali mengi katika eneo hili kutoka pande zote wakitaka kujua utaratibu na hasa suala la malipo. Nimekuandalia makala hii siku ya leo […]

85. Tunza Kumbukumbu Muhimu za Mahusiano ya Kiajira

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala zilizotangulia tumeangalia mambo mbalimbali yanayohusu sheria za kazi na namna zinavyoathiri mahusiano baina ya mfanyakazi na mwajiri. Tumeanza kujifunza kanuni mbalimbali ambazo mwajiri anapaswa kuzingatia pale anapokusudia kuajiri mfanyakazi. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya Kanuni 11 inayohusu […]