Uliza Sheria

Pata Elimu Na Msaada Wa Kisheria

Kwa Huduma Za Kisheria Mawasiliano
0713 888 040

Category: Uncategorized

Happy Birthday Uliza Sheria

Utangulizi  Habari za leo ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wa Ulizasheria. Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa nafasi hii tuliyopewa leo kuadhimisha mwaka mmoja katika kazi ya kutoa elimu na ushauri kwa masuala ya kisheria. Utakumbuka ndugu yangu msomaji mnamo tarehe 20th August 2017 tuliwakaribisha wote kufuatilia blog yetu hii ya uliza […]

Read More

DARASA LA ULIZA SHERIA 2018

Maono Kuwa kituo cha kwanza cha kutoa maarifa mbalimbali ya kitaaluma ili kuleta ufanisi, tija, manufaa kwa jamii. Dhima Kwa nidhamu, uadilifu na weledi tunaweza kufikia maono ya kutoa maarifa kwa jamii. Misingi ya Darasa Uadilifu Kujifunza Huduma bora kwa wateja Malengo Kutoa elimu ya sheria kwa jamii ili kuisaidia kutatua changamoto za kila siku […]

Read More

Sheria Leo.3: Je, Sheria ni Muhimu?

Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wa Sheria Leo, ambapo tunajifunza mambo mbalimbali ya kisheria ambayo yatatusaidia kila siku kufanya maamuzi sahihi na kuishi kwa mujibu wa sheria. Leo tunakwenda kujibu swali linalosema ‘Je, Sheria ni Muhimu?’ Karibu sana. Ndugu msomaji ni wazi kabisa mtu hawezi kuhangaika kutafuta kitu au maarifa ya jambo fulani kama halina […]

Read More