Kupitia mtandao huu wa Uliza Sheria utapata huduma zifuatazo;
- Ushauri wa kisheria katika maeneo mbali mbali mfano ardhi, kazi, mirathi, ndoa, jinai na madai.
- Uandishi wa nyaraka za kisheria, mfano mikataba, wosia, nyaraka za uanzishaji Kampuni n.k.
- Usimamizi/uwakilishi wa kesi mahakamani au mabaraza
- Kutoa elimu ya kisheria
- Kushuhudia nyaraka za kisheria (attestation and certification of documents)
- Kusimamia usajili wa kisheria kwenye Taasisi za Umma, mfano BRELA, Manispaa, RITA n.k
- Wakala wa kuuza au kununua vitu (real estate broker)
Scroll to top