Karibu kwenye mtandao huu wa Uliza Sheria.

Karibu kwenye mtandao huu wa Uliza Sheria.

Uliza Sheria imekuja kama suluhisho la matatizo mbali mbali ya kisheria yanayoikumba jamii yetu. Taaluma ya sheria ni moja ya taaluma muhimu sana katika ustawi wa jamii yoyote ya kistaarabu. Ni muhimu sana jamii ikafahamu mambo ya msingi yanayohusu wajibu na haki zao. Uliza Sheria inakuja kama jibu katika changamoto na maswali yanayoikumba jamii yetu.

Lengo kuu la mtandao huu;

• Kutoa elimu ya msingi ya sheria kwa mwananchi wa kawaida kabisa ili apate kufahamu namna ya kuishi kwa mujibu wa sheria

• Kutatua matatizo na kutoa majibu ya maswali ya jamii katika changamoto za kisheria wanazokumbana nazo kila siku.

• Kusaidia lengo la Taifa 2025 kuwa nchi yenye kuzingatia sheria na utawala bora.

Katika mtandao yetu ya Uliza Sheria utakutana na makala nzuri za kisheria zinazokupa mwongozo katika maeneo mbalimbali ya kimaisha, uchambuzi wa sheria mbalimbali, sehemu ya maswali na majibu, uchambuzi wa kesi n.k. Uliza Sheria inakuja kama suluhu ya kumwezesha msomaji kuwa na uwezo wa kutatua changamoto za kisheria yeye mwenyewe.

ISAACK ZAKE

C/o ZAKE ADVOCATES,

PLOT No.16/47, Appt No.006, BIBI TITI MOHAMED ROAD,

P. O. BOX 62605, DAR ES SALAAM.

Simu; 0713 888 040 / 0787 466 687

Email; zakejr@gmail.com