Mtandao huu wa Uliza Sheria unaendeshwa na Ofisi ya Mawakili Zake Advocates iliyoanzishwa tangu mwaka 2011.
Zake Advocates imekuwa ikijishughulisha na ushauri wa kisheria, uandishi wa nyaraka mbali mbali za kisheria na usimamizi wa kesi katika mahakama, mabaraza ya Ardhi na Nyumba na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.
Mawasiliano
John Buberwa
Simu: 0684 839 750
C/O Zake Advocates,
Plot No.16/47, Appt No.006,
Bibi Titi Mohamed Road,
P.O. Box 62605,
Dar Es Salaam.