Karibu kwenye ukurasa wa vitabu. Vitabu hivi vinakwenda kukupa maarifa zaidi katika Sheria ya Ajira. Vitabu hivi vinakupa masomo ya ndani zaidi jinsi ya kutambua haki na wajibu wa mwajiri na mfanyakazi kwa mujibu wa Sheria za Ajira.

  1. Je, Wewe ni Mwajiri au Mwajiriwa? – nakala tete (soft copy) Tsh.4,000/- tu
  2. Viwango vya Ajira – nakala tete (soft copy) Tsh.4,000/- tu

Kupata vitabu hivi wasiliana nasi kwa namba 0684 839 750 au barua pepe info@ulizasheria.co.tz .