Tuma Ujumbe Hapa

4 + 4 = ?

Mtandao huu wa Uliza Sheria unaendeshwa na Isaack Zake.

Isaack Zake Ni wakili wa kujitegemea tangu 2011 na Mwanzilishi wa Ofisi ya Wakili inayoitwa Zake Advocates. Isaack Zake amekuwa akishugulika na ushauri wa kisheria, uandishi wa nyaraka mbali mbali za kisheria na usimamizi wa kesi katika mahakama, mabaraza ya Ardhi na Nyumba na Tume ya Usuluhishi na Uamuzi.

Pia Isaack Zake ni mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili kwenye Usimamizi wa Rasilimali watu (MHRM) Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Mawasiliano

Isaack Zake

Simu: 0713 888 040

Barua pepe zakejr@gmail.Com

C/O Zake Advocates,

Plot No.16/47, Appt No.006,

Bibi Titi Mohamed Road,

P.O. Box 62605,

Dar Es Salaam.