Sheria Leo

Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz  tunapenda kutambulisha kwako ukurasa ambao utakuwa unakupa mwongozo wa maisha yako ya kila siku kujiufunza kuishi kwa mujibu wa sheria. Ukurasa huu unaitwa Sheria Leo ambao ni ufafanuzi wa baadhi ya mambo ya kisheria ambayo tunakutana nayo na tunayaishi kila siku.

Ukurasa wa Sheria leo utakusaidia mambo kadhaa ikiwepo;

  • Kufahamu dhana mbali mbali za kisheria na ufafanuzi wake
  • Kufahamu haki na wajibu wa kisheria katika maeneo mbalimbali
  • Kujifunza mambo mbali mbali ya kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria

Kusoma makala zote za Sheria leo bonyeza maandishi haya.

Karibu sana ndugu msomaji tujifunze kwa pamoja

Isaack Zake, Wakili