Kisa Mkasa 8: Mkulima (Said Mwamwindi) kufanya mauaji ya Mkuu wa Mkoa (Dr.Kleruu) – 4
Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji kwenye makala iliyopita tuliweza kuona juu ya utetezi wa kurukwa na akili ulivyojadiliwa na mahakama wakati wa shauri la Saidi Mwamwindi. Tuliona vigezo ambavyo vilitumiwa kuamua endapo wakati akitenda kosa alikuwa na akili timamu au la. Leo tunakwenda kuona utetezi wa Kukasirishwa (Provocation) Utetezi wa Kukasirishwa (Defense of Provocation) Hoja […]