Entries by ulizasheria

Sheria Leo. Ni nini Asili ya Sheria?

Utangulizi Ndugu msomaji wa uliza sheria karibu tena siku ya leo katika kuendelea kupata elimu yenye maarifa juu ya sheria. Leo tunaendelea kuangalia mambo ya msingi katika sheria. kwenye makala iliyopita tulijifunza juu ya Maana ya Sheria. Kama hukusoma makala hiyo bonyeza maneno haya Nini Maana ya Sheria? Leo nimekuandalia somo zuri kabisa lenye swali la […]

Sheria Leo. Haki ni Nini?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunakwenda kujibu swali la Haki ni Nini? Ndugu msomaji watu wengi wamekuwa wakisema na kudai vitu mbali mbali na kusema ni Haki yangu. […]

Sheria Leo. Je, ni Lazima wewe kujua Sheria?

Karibu tena katika ukurasa wetu wa uliza sheria ndugu yangu. Leo tunataka kujibu swali juu ya ‘Je, ni lazima wewe kujua Sheria?’ Mara nyingi watu wanadhani kuwa ujuzi wa sheria unawahusu wanasheria pekee au watu wenye shughuli fulani za umma na kadhalika. Sheria ni jambo la kijamii na linamuhusu kila mmoja wetu. Kama ni mfuatiliaji […]

Sheria Leo. Je, Sheria ni Muhimu?

Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wa Sheria Leo, ambapo tunajifunza mambo mbalimbali ya kisheria ambayo yatatusaidia kila siku kufanya maamuzi sahihi na kuishi kwa mujibu wa sheria. Leo tunakwenda kujibu swali linalosema ‘Je, Sheria ni Muhimu?’ Karibu sana. Ndugu msomaji ni wazi kabisa mtu hawezi kuhangaika kutafuta kitu au maarifa ya jambo fulani kama halina […]

Sheria Leo. Maisha ni Haki yako

Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz. tunapenda kutambulisha kwako ukurasa ambao unakupa mwongozo wa maisha yako ya kila siku kujiufunza kuishi kwa mujibu wa sheria. Ukurasa huu unakupa ufafanuzi wa baadhi ya mambo ya kisheria ambayo tunakutana nayo na tunayaishi kila siku. Karibu sana ndugu msomaji tujifunze kwa pamoja. Kama […]

Sheria leo. Ishi kwa Sheria si kwa Mazoea

Ndio ndugu msomaji kama kauli inavyosema hapo juu kwamba usiishi kwa mazoea bali jifunze kuishi kwa Sheria. Kama tulivyojifunza Sheria ni mwongozo au kanuni zilizowekwa kuongoza mwenendo wa wanajamii katika jamii yao. Watu wengi wamezoea kuishi kwa mazoea katika kila eneo ikiwa nyumbani, kazini,njiani n.k. Napenda kukupa mfano wa jinsi mazoea yanavyoweza kukuingiza kwenye matatizo […]

Sheria Leo

Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz  tunapenda kutambulisha kwako ukurasa ambao utakuwa unakupa mwongozo wa maisha yako ya kila siku kujiufunza kuishi kwa mujibu wa sheria. Ukurasa huu unaitwa Sheria Leo ambao ni ufafanuzi wa baadhi ya mambo ya kisheria ambayo tunakutana nayo na tunayaishi kila siku. Ukurasa wa Sheria […]

Nini Maana ya Sheria?

Ndugu msomaji wa blog ya uliza sheria karibu sana katika makala ya kwanza katika ukurasa huu ambapo tutajibu swali juu ya ‘Nini Maana ya Sheria?’. Wengi wetu tumekuwa tukisikia maneno yanayozungumzia ‘kwa mujibu wa sheria’ au ‘sheria ni msumeno’ au ‘tii sheria bila shuruti’n.k. Swali linakuja je, tunafahamu nini juu ya maana ya neno Sheria?. […]

Karibu Kwenye Mtandao Wa Uliza Sheria

Uliza Sheria imekuja kama suluhisho la matatizo mbali mbali ya kisheria yanayoikumba jamii yetu. Taaluma ya sheria ni moja ya taaluma muhimu sana katika ustawi wa jamii yoyote ya kistaarabu. Ni muhimu sana jamii ikafahamu mambo ya msingi yanayohusu wajibu na haki zao. Uliza Sheria inakuja kama jibu katika changamoto na maswali yanayoikumba jamii yetu. […]