Entries by ulizasheria

Ijue Sheria ya Mirathi

 Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Leo tunaendelea na mfululizo wa makala 10 za utabulisho wa baadhi ya sheria ambazo zina matumizi ya kila siku kwa mwananchi. Katika kundi la sheria za madai leo tunaangalia […]

Ijue Sheria ya Ndoa

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Leo tunaendelea na mfululizo wa makala 10 za utabulisho wa baadhi ya sheria ambazo zina matumizi ya kila siku kwa mwananchi. Katika kundi la sheria za madai leo tunaangalia Sheria ya Ndoa. […]

Ijue Sheria ya Mkataba

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala  ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Hivi karibuni tumekuwa na mfululizo wa makala za makundi ya sheria. Baada ya kujadili Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tumeanza mfululizo wa makala 10 za utabulisho wa baadhi ya sheria […]

3 B: Taasisi za Kazi

Utangulizi Ndugu msomaji leo tunaendelea kufanya uchambuzi juu ya sheria za kazi. Kama hukupata kusoma makala iliyopita fuatilia somo Ijue Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini. Makala iliyotangulia tulianza kuangalia juu ya Taasisi za Kazi kama hukusoma fuatilia kwenye maneno haya Taasisi za Kazi,  ambapo tulianza kuangalia juu ya Baraza la Kazi, Uchumi na Jamii, Tume […]

Ijue Sheria ya Ardhi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Hivi karibuni tumekuwa na mfululizo wa makala za makundi ya sheria. Makala iliyopita tulianza kuangalia juu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika mfululizo huu tunakwenda kuzianisha sheria kadhaa ambazo […]

3 A: Taasisi za Kazi

Utangulizi Ndugu msomaji leo tunaendelea kufanya uchambuzi juu ya sheria za kazi. Kama hukupata kusoma makala iliyopita fuatilia somo Ijue sheria ya Kazi. Leo tunakwenda kuangalia juu ya Taasisi za Kazi. Ndugu msomaji, wafanyakazi wengi  na waajiri wengi wanakutana na changamoto mbali mbali katika kutekeleza majukumu yao. Hatahivyo changamoto inakuja pale  linapojitokeza  tatizo wanataka kulitatua […]

Ijue Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Utangulizi Karibu ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa wetu. Tunaendelea kukuletea maarifa ya kisheria kwa uchambuzi wa masuala kadhaa ya kisheria. Katika makala zilizotangulia tulijifunza juu ya maana ya sheria, na makundi ya sheria. Katika mfululizo huu unaoanza leo tutakuwa tunaelezea kwa kifupi baadhi ya Sheria ambazo tunahusiana nazo siku kwa siku. Lengo ni […]

Sheria Leo.Sheria za Madai

Utangulizi Karibu ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa wa Sheria Leo. Tunaendelea kukuletea maarifa ya kisheria kwa uchambuzi wa masuala kadhaa ya kisheria. Leo tunakuletea ufafanuzi juu ya  Sheria za Madai. Karibu tujifunze. Katika mfululizo wa makala zilizopita tuliweza kuona juu ya Sheria za Umma na Binafsi. Katika makala hizo tumepata mwanga wa kufahamu […]

Sheria za Jinai

Utangulizi Karibu ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa wetu. Tunaendelea kukuletea maarifa ya kisheria kwa uchambuzi wa masuala kadhaa ya kisheria. Leo tunakuletea ufafanuzi juu ya  Sheria za Jinai. Karibu tujifunze. Katika mfululizo wa makala zilizopita tuliweza kuona juu ya Sheria za Umma na Binafsi. Katika makala hizo tumepata mwanga wa kufahamu makundi ya […]

2.Ijue Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wa Elimu ya Sheria kwenye kipengele cha Uchambuzi wa Sheria. Kwenye makala ya utangulizi  tulizungumzia juu ya Umuhimu wa Sheria ya Ajira. Leo nakuletea makala nyingine ya kukupa ufahamu juu ya Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ambayo tutakwenda kuijadili katika mfululizo wa makala hizi. Karibu sana. Mahusiano […]