Entries by ulizasheria

Je, Unajua Umuhimu wa Wosia?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala zilizopita tuliwahi kugusia kwa sehemu Sheria ya Mirathi. Tuliangalia mambo kadhaa fuatilia makala ya Sheria Leo.20 kujifunza zaidi. Leo tunakuleta somo juu ya umuhimu wa wosia. Karibu tujifunze. Maana ya […]

Je, unaijua Dhana ya Uwepo wa Ndoa?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Siku ya leo ninakuletea ufafanuzi wa Dhana ya Uwepo wa Ndoa. Karibu tujifunze.  Msingi wa Uwepo wa Dhana ya Ndoa Kama tunavyofahamu na tulivyojifunza kwenye makala ya Ijue Sheria ya ndoa ambapo […]

1.Ijue Sheria ya Usalama Barabarani

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Hivi karibuni tumekuwa na mfululizo wa makala za makundi ya sheria. Leo tunakuletea utambulisho wa Sheria ya Usalama Barabarani. Karibu tujifunze. Msingi wa sheria ya Usalama Barabarani Msingi wa kuwepo sheria hii […]

Ijue Sheria ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Hivi karibuni tumekuwa na mfululizo wa makala za makundi ya sheria. Tumeanza mfululizo wa makala 10 za utabulisho wa baadhi ya sheria ambazo zina matumizi ya kila siku kwa mwananchi. Tayari tumekamilisha […]

Ijue Sheria ya Kuzuia Utakatishaji wa Fedha Haramu

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala  ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Hivi karibuni tumekuwa na mfululizo wa makala za makundi ya sheria. Tumeanza mfululizo wa makala 10 za utabulisho wa baadhi ya sheria ambazo zina matumizi ya kila siku kwa mwananchi. Tayari tumekamilisha […]

5.Mikataba ya Ajira

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ya Kazi nashukuru tumeendelea  kuwa pamoja na kupata maarifa haya ambayo yanaletwa kwako kupitia www.ulizasheria.co.tz. Katika mfululizo wa makala hizi tutakwenda kuona jinsi sheria ya kazi ilivyoweka viwango ambavyo mwajiri anawajibika kuvizingatia mara anapomwajiri mfanyakazi katika ajira watakayokubaliana. Sheria ya kazi imeainisha maeneo kadhaa ambayo yamewekewa […]

Ijue Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Hivi karibuni tumekuwa na mfululizo wa makala za makundi ya sheria. Tumeanza mfululizo wa makala 10 za utabulisho wa baadhi ya sheria ambazo zina matumizi ya kila siku kwa mwananchi. Tayari tumekamilisha […]

Ijue Sheria ya Kanuni ya Adhabu

Utangulizi  Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Hivi karibuni tumekuwa na mfululizo wa makala za makundi ya sheria. Tumeanza mfululizo wa makala 10 za utabulisho wa baadhi ya sheria ambazo zina matumizi ya kila siku kwa mwananchi. […]

Sheria Leo. Ijue Sheria ya Madhara

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Hivi karibuni tumekuwa na mfululizo wa makala za makundi ya sheria. Tumeanza mfululizo wa makala 10 za utabulisho wa baadhi ya sheria ambazo zina matumizi ya kila siku kwa […]

4. Kinga na Ulinzi katika Kazi

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria , leo tunaendelea na uchambuzi wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini. Katika makala zilizopita tumeangalia juu ya Ijue Sheria ya Kazi na Taasisi za Kazi fuatilia makala hizo ili kupata msingi wa elimu hii. Ndugu msomaji leo tunakwenda kuangalia Ulinzi katika Sheria ya Kazi. Ulinzi […]