Entries by ulizasheria

Sheria Leo. Sheria Binafsi (Private Laws)

Utangulizi Karibu sana kwa siku ya leo ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa wa Sheria Leo. Tunaendelea kukuletea maarifa ya kisheria kwa uchambuzi wa masuala kadhaa ya kisheria. Tumekuwa na mfululizo wa kuchambua makundi ya sheria ambayo tuliyaanisha kwenye makala zilizopita.  Leo tunakuletea ufafanuzi juu ya uchambuzi wa Sheria Binafsi. Karibu tujifunze Maana ya […]

1. Umuhimu wa Sheria ya Ajira

Utangulizi Ndugu yangu msomani wa ukurasa wa Elimu ya Sheria, kipengele cha Uchambuzi wa Sheria nakukaribisha sana kwenye safari hii ya kujifunza. Kwa kuanza mfululizo wa makala za Uchambuzi wa Sheria napenda kukuletea makala za kukuelimisha juu ya sheria za Kazi. Katika mfululizo huu tutaichambua Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya 2004. Katika mfumo […]

Sheria Leo. Sheria za Umma

Karibu sana kwa siku ya leo ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa wa Sheria Leo. Tunaendelea kukuletea maarifa ya kisheria kwa uchambuzi wa masuala kadhaa ya kisheria. Tumekuwa na mfululizo wa kuchambua makundi ya sheria ambayo tuliyaaninisha kwenye makala Yatambue Makundi ya Sheria.  Leo tunakuletea ufafanuzi juu ya uchambuzi wa Sheria za Umma. Karibu […]

Elimu ya Sheria: Uchambuzi wa Sheria

Utangulizi Ndugu msomaji wa mtandao wa uliza sheria na mfuatiliaji wa makala kupitia ukurasa wa Elimu ya Sheria nakukaribisha tena katika ukurasa huu. Kwa muda sasa ukurasa huu hatukuweka makala kwa sababu tulikuwa tunaangalia aina ya mambo ya kisheria yanayostahili kufundishwa kupitia ukurasa huu. Habari Njema kwako Ndugu msomaji pamoja na kutoa elimu ya sheria […]

Sheria Leo. Sheria za Kitaifa (Sheria za Ndani)

Utangulizi Karibu sana kwa siku ya leo ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa wa Sheria Leo. Tunaendelea kukuletea maarifa ya kisheria kwa uchambuzi wa masuala kadhaa ya kisheria. Tangu makala ya Sheria Leo.9 tumekuwa tukiangalia makundi ya Sheria na makala ya Sheria Leo.10 tulianza uchambuzi wa yale makundi kwa kuangalia Sheria za Kimataifa. Leo […]

Sheria Leo. Sheria za Kimataifa

Utangulizi Karibu sana tena katika ukurasa huu wa sheria leo, ambapo tumekuwa tukijifunza mambo kadhaa ya sheria ambazo zinatawala katika maisha yetu ya kila siku. Kama tulivyoeleza kwenye makala ya utangulizi juu ya makundi ya sheria kwenye makala iliyopita. Karibu tuanze kujadili sheria hizi kwa kifupi tupate mwanga katika kila kundi kwa jinsi gani zinatuhusu […]

Sheria Leo. Yajue makundi ya Sheria

Ndugu msomaji wa mtandao wetu wa ulizasheria karibu tena kwenye mfululizo wa mafunzo ya sheria, katika ukurasa wa Sheria Leo.  Asante kwa kuendelea kutufuatilia tunapotoa maarifa ya elimu ya kisheria. Lengo letu bado ni lile la kuhakikisha tunakujengea uwezo wa maarifa ya kisheria yatakayokusaidia kukabiliana na changamoto kadhaa kwenye eneo la sheria kila siku. Leo […]

Sheria Leo. Je, wazijua tabia kuu 3 za sheria?

Utangulizi Habari za leo ndugu msomaji wa ukurasa wa Sheria Leo. Naamini tupo pamoja katika kuendelea kujifunza juu ya sheria kupitia makala hizi za maarifa ya kisheria. Leo nakuletea somo linalosema Zijue Tabia Kuu 3 za Sheria ili uweze kushirikiana nayo vizuri. Ndugu msomaji ni muhimu sana kwetu kufahamu mambo haya wakati tunajenga msingi wa […]

Sheria Leo. Je, unajua Haki na Wajibu vinategemeana?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo . ukurasa ambao unakupa maarifa juu ya sheria na kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Lengo mojawapo la ukurasa huu ni kukufahamisha juu ya Haki na Wajibu wako kama raia au mwananchi wa Tanzania. Leo tunakwenda kuchambua kwa uchache juu ya maneno […]

Sheria Leo. Wajibu ni Nini?

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji wa ukurasa wa Sheria Leo, asante kutupatia nafasi ya kuendelea kukuletea majibu mbali mbali ya kisheria ambayo wewe au jamii imekuwa ikijiuliza kila siku. Lengo letu ni lile lile kukupatia maarifa ya kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kila siku. Leo katika darasa la Sheria tunakwenda kujibu swali la Nini Maana ya […]