Entries by ulizasheria

Je, Unazijua Ardhi za Hifadhi?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala ya Sheria Leo.34:Makundi ya Ardhi.. Leo tunakuletea ufafanuzi wa kundi la Ardhi ya Hifadhi. Msingi wa Ardhi ya Hifadhi Sheria za Ardhi zinatambua uwepo wa Ardhi ya Hifadhi. Kwa haraka […]

Mgawanyo wa Makundi ya Ardhi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala ya  Ijue Sheria ya Ardhi tuliitambulisha Sheria ya Ardhi kama hukupata nafasi pitia makala hiyo. Katika makala ya leo tunaangalia Makundi ya Ardhi. Karibu sana. Msingi wa Utawala Ardhi Sheria […]

Je, unaijua Mihimili ya Dola?

Utangulizi Karibu ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu. Tunaendelea kukuletea maarifa ya kisheria kwa uchambuzi wa masuala kadhaa ya kisheria. Kila siku tumeendelea kujifunza mambo ya msingi ya sheria na kuzitambulisha sheria mbalimbali ili uweze kuzitambua na kujua namna ya kuishi kwa mujibu wa sheria. Leo tutaitambulisha kwako Mihimili ya Dola. Maana ya […]

Je, Unazijua Sababu za kuifanya ndoa kuwa Batilifu?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Leo tunaendelea kuangalia kwa sehemu baadhi ya mambo yanayoweza kuifanya ndoa kuwa Batili. Karibu tujifunze. Maana ya Ndoa Batilifu Hii ni ndoa ambayo itachukuliwa kisheria kuwa ni halali hadi […]

8. Saa za Kazi za Ziada na Mengineyo

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Ijue sheria ya Kazi nashukuru tumeendelea  kuwa pamoja na kupata maarifa haya ambayo yanaletwa kwako kupitia www.ulizasheria.co.tz katika makala iliyopita tuliangalia viwango vya ajira katika eneo la Saa za Kazi. Tuliichambua sheria ya kazi na viwango vya ajira kuhusu saa za kazi za kawaida na mapumziko ambayo mfanyakazi ana […]

Ijue Sheria ya Mtoto

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Kutokana na uhitaji uliopo katika jamii na umuhimu wa kufahamu mambo ya sheria juu ya kundi la watoto, leo tunakuletea utambulisho wa Sheria ya Mtoto. Msingi wa Uwepo wa Sheria ya Mtoto […]

2.Ukiona Alama Hii unachukua Hatua gani?

Utangulizi Ndugu msomaji wa ukurasa  nakukaribisha tena kuendelea kujifunza kwa lengo la kuishi kwa mujibu wa sheria. Mara kadhaa katika shughuli zetu tunakutana na alama au maandishi au mabango ya matangazo iwe barabarani au maeneo mengi kuna alama muhimu huwa tunaiona na mara nyingi tunaipuuza hasa kwa wafanyabiashara ndogo ndogo au madereva wa magari. Unapita mahali […]

7. Saa za Kazi

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Ijue sheria ya Kazi nashukuru tumeendelea  kuwa pamoja na kupata maarifa haya ambayo yanaletwa kwako kupitia www.ulizasheria.co.tz katika makala iliyopita tuliangalia viwango vya ajira katika eneo la Mikataba na tukafafanua juu ya wafanyakazi wasio na mikataba. Leo tunakwenda kuangalia eneo lingine katika Sheria ya Kazi katika  Viwango vya Ajira […]

Zijue Taratibu za Kisheria za Mirathi yenye Wosia

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala zilizopita tuliwahi kugusia kwa sehemu Sheria ya Mirathi. Katika makala iliyopita tumeona Umuhimu wa Wosia. Leo tunaangalia taratibu za kisheria zinazopaswa kuchukuliwa kwenye mirathi yenye wosia. Msingi wa Taratibu za […]

6. Wafanyakazi Wasio na Mikataba

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ya Kazi nashukuru tumeendelea  kuwa pamoja na kupata maarifa haya ambayo yanaletwa kwako kupitia www.ulizasheria.co.tz. Leo katika makala ya mfululizo juu ya Viwango vya Ajira tunakwenda kuangalia suala la Wafanyakazi Wasio na Mikataba. Ndugu msomaji pamekuwa na malalamiko ya wafanyakazi wengi juu ya kufanya kazi pasipo […]