Entries by ulizasheria

11.B. Haki za Chama cha Wafanyakazi

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiishambua Sheria ya Kazi, tumeendelea kuwa pamoja kwa kipindi chote hiki. Makala iliyopita ilitupa utangulizi juu ya Uhuru wa Kujumuika katika Vyama vya Wafanyakazi, Jumuiya za Waajiri na Mashirikisho. Tuliweza kuchambua juu ya utaratibu wa kuunda chama cha wafanyakazi, utaratibu wa usajili na wajibu […]

Haki ya Usawa

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu  kupitia mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunakwenda kujifunza juu ya Haki ya Usawa. Karibu tujifunze. Maana ya Haki ya Usawa Haki ya usawa ni moja wapo ya […]

Ijue Haki ya Kupiga Kura

Utangulizi Karibu ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu. Tunaendelea kukuletea maarifa ya kisheria kwa uchambuzi wa masuala kadhaa ya kisheria. Juma lililopita katika ukurasa wa Sheria Leo tulizungumzia kuhusu Mihimili ya Dola kama ilivyoanishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSheria Leo.33: Je, unaijua Mihimili ya Dola?. Leo tunaendelea na ibara nyingine […]

11.A. Uhuru wa Kuunda Vyama kwa Waajiri na Wafanyakazi

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Ijue sheria ya Kazi nashukuru tumeendelea  kuwa pamoja na kupata maarifa haya ambayo yanaletwa kwako kupitia www.ulizasheria.co.tz katika makala iliyopita tuliangalia juu ya viwango vya ajira katika makala zaidi ya 5 mfululizo. Leo tunakwenda kuona juu ya Uhuru wa Kujumuika katika Vyama vya Wafanyakazi, Jumuiya za Waajirina Mashirikisho karibu […]

Haki za Mtoto

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala hizi ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala ya Sheria Leo.31. Ijue Sheria ya Mtoto tulizungumza kwa kifupi juu ya sheria ya Watoto iliyotungwa 2009. Leo tunakwenda kuangalia Haki za Watoto ambazo wananchi tunapaswa kuzizingatia na kuhakikisha […]

Ijue Sheria ya Fidia ya Wafanyakazi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Kutokana na uhitaji uliopo katika jamii na umuhimu wa kufahamu mambo ya sheria juu ya Fidia ya Wafanyakazi. Karibu tujifunze. Msingi wa Sheria ya Fidia ya Wafanyakazi Sheria hii imetungwa kwa lengo […]

10: Likizo

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Ijue sheria ya Kazi katika ukurasa wa Elimu ya Sheria nashukuru tumeendelea  kuwa pamoja na kupata maarifa haya. Katika makala iliyopita tuliangalia viwango vya ajira kuhusu Ujira. Leo tunaendelea kuangalia mambo mengine kwenye Viwango vya ajira hasa Likizo. Karibu sana tuendelee na mfululizo wa makala hizi. Maana ya Likizo […]

Utetezi wa Dai la Haki kwa Uaminifu

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala ya Sheria Leo.22 tulitambulisha Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Penal Code), ambapo tuliweza kuifahamu kwa uchache na juu ya makosa mbali mbali. Leo tunakuletea Utetezi wa Dai la Haki kwa […]

9: Ujira

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Ijue sheria ya Kazi nashukuru tumeendelea  kuwa pamoja na kupata maarifa haya ambayo yanaletwa kwako kupitia ukurasa huu wa Elimu ya Sheria.  Katika makala iliyopita tuliangalia viwango vya ajira katika eneo la Saa za Kazi za Ziada na mambo mengine yanayohusu saa za kazi. Tuliichambua sheria ya kazi na […]