Uliza Sheria

Pata Elimu Na Msaada Wa Kisheria

Kwa Huduma Za Kisheria Mawasiliano
0713 888 040

Category: Sheria Leo

Sheria Leo.130. Je, Unamshtaki Nani?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunajiuliza swali muhimu sana katika masuala ya mashauri ya mahakamani Je, unamshtaki nani?. Karibu tujifunze. Mfumo wa […]

Read More

Sheria Leo.129. Upi ni ukomo wa mashauri ya Ardhi?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunajibu swali la msomaji wetu kuhusiana na suala la umiliki na ukomo wa mashauri ya ardhi. Karibu […]

Read More

Sheria Leo.128. Mauzo ya Mali za Mirathi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunajifunza juu ya mauzo ya mali za mirathi. Karibu tujifunze kwa pamoja. Mali za Mirathi Katika masuala […]

Read More

Sheria Leo.127. Hatua za Kuchukua dhidi ya Ukatili kwenye Mahusiano

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Tumejifunza kwa muda mrefu juu ya makosa mbali mbali na namna ya kisheria kosa linavyotokea kwa kitendo na dhamira. Katika makala iliyopita tuliangalia ‘Kwa nini watu husita kuchukua hatua […]

Read More

Sheria Leo.126. Kwa Nini watu hawachukui hatua dhidi ya Ukatili kwenye Mahusiano?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Tumejifunza kwa muda mrefu juu ya makosa mbali mbali na namna ya kisheria kosa linavyotokea kwa kitendo na dhamira. Katika makala iliyopita tuliangalia juu ya Ulinzi wa Kisheria dhidi […]

Read More

Sheria Leo.125. Ulinzi wa Kisheria dhidi ya Ukatili kwenye Mahusiano

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Tumejifunza kwa muda mrefu juu ya makosa mbali mbali na namna ya kisheria kosa linavyotokea kwa kitendo na dhamira. Katika makala iliyopita tulianza kuangalia juu ya Jinai ya Kipigo […]

Read More

Sheria Leo.124:A. Jinai ya Kipigo kwenye Mahusiano

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Tumejifunza kwa muda mrefu juu ya makosa mbali mbali na namna ya kisheria kosa linavyotokea kwa kitendo na dhamira. Leo tunaenda kuangalia juu ya Jinai ya Kipigo kwenye mahusiano. […]

Read More

Sheria Leo.123: Aina ya Dhamira za Kijinai ‘Kinds of Mens rea’

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala iliyopita kwenye tuliangalia juu ya Mambo ya Msingi ya Kitendo cha Kijinai. Leo tunakwenda kuangalia tena kwa undani juu ya Aina ya Dhamira za Kijinai ‘Kinds of […]

Read More

Sheria Leo.122: Fahamu Mambo ya Msingi kuhusu Kitendo cha Kijinai ‘Actus reus’

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala iliyopita kwenye tuliangalia juu ya kitendo cha kijinai na dhamira ya kijinai. Leo tunakwenda kuangalia tena kwa undani juu ya mambo ya msingi ya kuzingatia kuhusu Kitendo […]

Read More

Sheria Leo.121: Dhamira ya Kijinai ‘Mens rea’

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala iliyopita kwenye tuliangalia kwa kiashiria kimojawapo cha kosa la kijinai yaani kitendo cha kijinai ‘actus reus’ tumeona kuwa kitendo cha kijinai kinaweza kuwa suala la kutenda tendo […]

Read More