Uliza Sheria

Pata Elimu Na Msaada Wa Kisheria

Kwa Huduma Za Kisheria Mawasiliano
0713 888 040

Category: Biashara Sheria

Biashara Sheria.13. Sifa za Mkataba Halali Kisheria – Nia ya kuwajibika kisheria

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Ukurasa huu umekuwa mahsusi kwa ajili ya uchambuzi wa mambo mbalilmbali yanayomwezesha mtu au kikundi kuwa na namna bora ya kuanzisha na kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mujibu wa sheria. Katika makala iliyopita tuliangalia kwa utagulizi juu ya sifa za mkataba kuwa halali […]

Read More

Biashara Sheria.12. Sifa za Mkataba Halali Kisheria

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Ukurasa huu umekuwa mahsusi kwa ajili ya uchambuzi wa mambo mbalilmbali yanayomwezesha mtu au kikundi kuwa na namna bora ya kuanzisha na kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mujibu wa sheria. Leo tunaanza kujifunza juu ya sifa zinazosababisha mkataba kuwa halali kisheria. Karibu tujifunze. […]

Read More

Biashara Sheria.11. Umuhimu wa risiti kwenye mauzo ya huduma au bidhaa

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Ukurasa huu umekuwa mahsusi kwa ajili ya uchambuzi wa mambo mbalimbali yanayomwezesha mtu au kikundi kuwa na namna bora ya kuanzisha na kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mujibu wa sheria. Leo tunakwenda kujifunza juu ya Umuhimu wa risiti kwenye mauzo ya huduma au […]

Read More

Biashara Sheria.10. Je, Mkataba ni muhimu kwenye Biashara?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Ukurasa huu umekuwa mahsusi kwa ajili ya uchambuzi wa mambo mbalilmbali yanayomwezesha mtu au kikundi kuwa na namna bora ya kuanzisha na kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mujibu wa sheria. Leo tunakwenda kujifunza juu ya Umuhimu wa Mkataba wa kwenye Biashara. Karibu tujifunze. […]

Read More

Biashara Sheria.9. Usajili wa Biashara

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Ukurasa huu umekuwa mahsusi kwa ajili ya uchambuzi wa mambo mbalilmbali yanayomwezesha mtu au kikundi kuwa na namna bora ya kuanzisha na kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mujibu wa sheria. Leo tunakwenda kuangalia utaratibu wa kisheria wa kusajili biashara. Karibu tujifunze. Usajili wa […]

Read More

Biashara Sheria.8. Aina za Kampuni

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Katika makala iliyopita tumeona mfumo wa uendeshaji biashara na mamlaka inayohusika na usajili wa biashara hizo. Tumeanza kuchambua juu ya makundi ya kampuni katika makala iliyopita ambapo tumeona mgawanyo wa makundi ya aina kuu tatu. Leo tunaenda kuangalia kwa ufafanuzi zaidi aina za kampuni […]

Read More

Biashara Sheria.7. Makundi ya Kampuni

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Katika makala iliyopita tumeona mfumo wa uendeshaji biashara na mamlaka inayohusika na usajili wa biashara hizo. Tumeona juu ya makundi makuu 3 ya uendeshaji wa biashara kisheria na usajili wake. Pia tumeangalia juu ya uchambuzi wa mifumo ya biashara binafsi na ile ya ubia […]

Read More

Biashara Sheria.6. Biashara kwa Mfumo wa Kampuni

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Katika makala iliyopita tumeona mfumo wa uendeshaji biashara na mamlaka inayohusika na usajili wa biashara hizo. Tumeona juu ya makundi makuu 3 ya uendeshaji wa biashara kisheria na usajili wake. Pia tumeangalia juu ya uchambuzi wa mifumo ya biashara binafsi na ile ya ubia. […]

Read More

Biashara Sheria.5. Biashara ya Ubia

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Katika makala iliyopita tumeona mfumo wa uendeshaji biashara na mamlaka inayohusika na usajili wa biashara hizo. Tumeona juu ya makundi makuu 3 ya uendeshaji wa biashara kisheria na usajili wake. Leo tunakwenda kuchambua mojawapo ya aina ya biashara ya Ubia au ‘Partnership’. Karibu tujifunze. […]

Read More

Biashara Sheria.4. Biashara ya Mtu Binafsi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Katika makala iliyopita tumeona mfumo wa uendeshaji biashara na mamlaka inayohusika na usajili wa biashara hizo. Tumeona juu ya makundi makuu 3 ya uendeshaji wa biashara kisheria na usajili wake. Leo tunakwenda kuchambua mojawapo ya aina ya biashara ya Mtu Binafsi. Karibu tujifunze. Mfumo […]

Read More