34. Utatuzi wa Migogoro ya Kazi kwa njia ya Usuluhishi
Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji wa makala za uchambuzi wa sheria ya Kazi. Tunaendelea kuchambua sheria hii yenye mahusiano ya mfanyakazi na mwajiri katika mfululizo wa makala. Katika makala iliyopita tuliangalia kwa utangulizi juu ya utatuzi wa migogoro ya kazi kwa kuzungumzia taratibu za usuluhishi, uamuzi na mahakama. Leo tunaanza kuchambua kila njia ya utatuzi […]
You must be logged in to post a comment.