Uliza Sheria

Pata Elimu Na Msaada Wa Kisheria

Kwa Huduma Za Kisheria Mawasiliano
0713 888 040

Category: Sheria Leo

Sheria Leo.120: Kitendo cha Kijinai ‘Actus reus’

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala iliyopita kwenye tuliangalia kwa utangulizi juu ya Viashiria vya Kosa la Jinai, ambapo tulijadili juu ya historia ya adhabu kwa makosa ya jinai na mabadiliko yake. Leo […]

Read More

Sheria Leo.119: Viashiria vya Kosa la Jinai

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala iliyopita kwenye ukurasa huu tulianza kuangalia namna mbalimbali za utetezi kutokana na makosa ya kijinai. Leo tunakwenda kuangalia juu ya Viashiria vya Kosa la Jinai. Historia ya […]

Read More

Sheria Leo.118: Utetezi wa kisheria kutokana Ugonjwa wa Akili

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala iliyopita tumezongumzia Utetezi wa kisheria kutokana na Umri Mdogo. Leo tunakwenda  kuangalia Utetezi wa Kisheria unaotokana na Ugonjwa wa Akili. Dhana ya Utimamu wa Akili kwa watu […]

Read More

Sheria Leo.117: Utetezi wa kisheria kutokana na Umri

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala za tumeendelea kukuelimisha katika nyanja za kisheria. Pia tuligusia kidogo kwenye masuala ya jinai na kuangalia msingi wa sheria za kijinai. Leo tunakuletea Utetezi wa Kisheria Kutokana […]

Read More

Sheria Leo.116. Hatua Dhidi ya Wanaochukua Sheria Mkononi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku.tumekuwa na mfululizo wa makala zinazohusu tabia ya watu kujichukulia sheria mkononi. Leo tunaangalia hatua dhidi ya watu wanaojichukulia […]

Read More

Sheria Leo.115. Kujichukulia Sheria Mkononi kwenye Migogoro ya Kifamilia

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku.tumekuwa na mfululizo wa makala zinazohusu tabia ya watu kujichukulia sheria mkononi. Katika makala iliyopita tumechambua juu ya eneo […]

Read More

Sheria Leo.114. Kujichukulia Sheria Mkononi kwenye Uhalifu wa Kujamiiana

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku.tumekuwa na mfululizo wa makala zinazohusu tabia ya watu kujichukulia sheria mkononi. Katika makala iliyopita tumechambua juu ya eneo […]

Read More

Sheria Leo.113. Kujichukulia Sheria Mkononi kwenye Uhalifu wa Mali

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku.tumekuwa na mfululizo wa makala zinazohusu tabia ya watu kujichukulia sheria mkononi. Katika makala iliyopita tumechambua juu ya eneo […]

Read More

Sheria Leo.112. Kujichukulia Sheria Mkononi kwenye Makosa ya Sheria za Barabarani.

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku.tumekuwa na mfululizo wa makala zinazohusu tabia ya watu kujichukulia sheria mkononi. Katika makala iliyopita tumechambua juu ya eneo […]

Read More

Sheria Leo.111. Maeneo ambayo watu hupenda Kujichukulia Sheria Mkononi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku.tumekuwa na mfululizo wa makala zinazohusu tabia ya watu kujichukulia sheria mkononi. Leo tunaangalia maeneo ambayo watu hupenda kujichukulia […]

Read More