Entries by ulizasheria

Biashara Sheria.4. Biashara ya Mtu Binafsi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Katika makala iliyopita tumeona mfumo wa uendeshaji biashara na mamlaka inayohusika na usajili wa biashara hizo. Tumeona juu ya makundi makuu 3 ya uendeshaji wa biashara kisheria na usajili wake. Leo tunakwenda kuchambua mojawapo ya aina ya biashara ya Mtu Binafsi. Karibu tujifunze. Mfumo […]

Biashara Sheria.3. Mfumo wa Uendeshaji Biashara Kisheria

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Katika makala zilizopita tuliona juu ya utangulizi kuhusu malengo ya ukurasa huu na hasa wahitaji wa maarifa haya ya uendeshaji wa biashara au shughuli za uzalishaji mali kwa mujibu wa sheria. Tumeona juu ya watu wengi wanaendesha biashara au shughuli zao pasipo kuwa na […]

31. Kusimamishwa Kazi kwa Mfanyakazi

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji wa makala za uchambuzi wa sheria ya Kazi. Tunaendelea kuchambua sheria hii yenye mahusiano ya mfanyakazi na mwajiri katika mfululizo wa makala. Kwa kipindi kirefu tumejifunza njia mbalimbali za usitishaji wa ajira. Leo tunakwenda kuangalia juu ya kusimamishwa kazi kwa mfanyakazi. Karibu tujifunze. Maana ya Kusimamishwa Kazi Kusimamishwa kazi au […]

30. Usitishaji wa Ajira kwa Notisi

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala za hivi karibuni tumekuwa tukichambua sababu na taratibu mbalimbali zinazoweza kusababisha au kufuatwa ili kusitisha ajira ya mfanyakazi kihalali. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukichambua usitishaji wa ajira unaofanywa na mwajiri. Leo tunakwenda kuangalia usitishaji wa ajira kwa […]

Biashara Sheria. 2. Makundi ya Wahitaji wa Biashara Sheria

Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji wa ukurasa mpya kabisa wa Biashara Sheria ambao unakuletea masuala kadhaa ya kisheria yanayohusiana na uanzishwaji, uendeshaji na usimamizi wa biashara au shughuli za uzalishaji mali na fedha kwa mujibu wa sheria. Katika ukurasa huu tutaendelea kutoa maarifa mbalimbali ya kusaidia wasomaji wetu kujua na kuzingatia taratibu za kisheria zinazopaswa […]

Biashara Sheria.1. Karibu Ukurasa Mpya wa Biashara Sheria

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa mtandao wa uliza sheria katika ukurasa huu mpya ambao unahusu masuala mbalimbali ya biashara sheria. Ukurasa huu ni mwitikio wa maswali ya wengi miongoni mwa wasomaji wetu wa mtandao wa uliza sheria. Katika kipindi cha miezi mitano ya kuwepo mtadao wa uliza sheria pamoja na mambo mengine mengi, maswali […]

29.B. Usitishaji wa Ajira kwa Sababu ya Mahitaji ya Uendeshaji

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala za hivi karibuni tumekuwa tukichambua sababu na taratibu mbalimbali zinazoweza kusababisha au kufuatwa ili kusitisha ajira ya mfanyakazi kihalali. Katika makala iliyopita tuliona utangulizi juu ya usitishaji wa ajira kwa sababu ya mahitaji ya uendeshaji.Leo tunaendelea na sehemu […]

29.A. Usitishaji wa Ajira kwa Sababu ya Mahitaji ya Uendeshaji

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala za hivi karibuni tumekuwa tukichambua sababu na taratibu mbalimbali zinazoweza kusababisha au kufuatwa ili kusitisha ajira ya mfanyakazi kihalali. Leo tunaendelea aina nyingine wa Usitishaji wa Ajira kwa sababu ya Mahitaji ya Uendeshaji. Maana ya Mahitaji ya Uendeshaji […]

Utetezi wa kisheria kutokana Ugonjwa wa Akili

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala zetu ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala iliyopita tumezongumzia Utetezi wa kisheria kutokana na Umri Mdogo. Leo tunakwenda  kuangalia Utetezi wa Kisheria unaotokana na Ugonjwa wa Akili. Dhana ya Utimamu wa Akili kwa watu wote Sheria […]

Utetezi wa kisheria kutokana na Umri

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa makala za Sheria Leo ambapo umekuwa ukipata maarifa juu ya sheria mbali mbali na dhana kadhaa za kisheria kila siku. Katika makala za tumeendelea kukuelimisha katika nyanja za kisheria. Pia tuligusia kidogo kwenye masuala ya jinai na kuangalia msingi wa sheria za kijinai. Leo tunakuletea Utetezi wa Kisheria Kutokana […]