Entries by ulizasheria

64. Nifanye Nini ukomo wa muda wa madai ukipita?

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeangalia juu ya ukomo wa muda katika mashauri ya kazi hasa suala la madai ya mishahara. Tumeona jinsi sheria inavyoweka muda wa kufuatilia madai. Leo tunaangalia juu nini unaweza kufanya endapo muda wa ukomo wa madai umeisha. […]

63. Ukomo wa Muda kwa Madai ya Mshahara

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Kumekuwa na tatizo la waajiri kutokulipa mishahara kwa wakati au kumsimamisha mfanyakazi pasipo mshahara. Wafanyakazi hawachukui hatua yoyote katika kufuatilia madai haya. Leo tunaangalia juu ya ukomo wa muda kwa madai ya mshahara. Karibu tujifunze. Ukomo wa Muda Sheria ya […]

62. Je, ninaweza kudai Mwajiri wakati sina Mkataba wa Maandishi?

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita  tuliangalia endapo mfanyakazi anaweza kuwa na madai kwa mwajiri wake pasipo kuwa na mkataba wa maandishi. Tumeona juu ya hatua ya kwanza ya uwepo wa dhana ya mahusiano ya kiajira. Leo tunaangalia hatua nyingine ambayo mfanyakazi anaweza […]

Sheria Jinai.4. Mambo ya Kuzingatia ili Wananchi watoe taarifa kwa Uhuru

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wetu na mfuatiliaji wa makala mbali mbali za mtandao wa uliza sheria. Katika makala iliyopita tuliangalia wajibu wa kutoa taarifa juu ya makosa ya jinai pamoja na kwa nini watu hawatoi taarifa za uhalifu. Leo tunaangalia mambo ya kuzingatia ili wananchi watoe taarifa kwa uhuru. Karibu ndugu msomaji tujufunze. Wajibu […]

61. Je, ninaweza kudai Mwajiri wakati sina Mkataba wa Maandishi?

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeweza kujibu swali ya kwamba nini mfanyakazi anaweza kufanya endapo atakatwa mshahara pasipo utaratibu. Leo tunakwenda kuangalia endapo mfanyakazi anaweza kuwa na madai kwa mwajiri wake pasipo kuwa na mkataba wa maandishi. Karibu tujifunze. Hali ya Mahusiano […]

60. Ufanye nini endapo umekatwa mshahara bila utaratibu?

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeweza kujibu swali juu ya mamlaka ya mwajiri kumkata mfanyakazi mshahara pasipo utaratibu. Leo tunakweda kujibu swali ya kwamba nini mfanyakazi anaweza kufanya endapo atakatwa mshahara pasipo utaratibu. Karibu tujifunze. Hali ya Wafanyakazi Wafanyakazi wengi wanaokutwa katika […]

59. Je, Mwajiri ana haki ya kukata mshahara bila utaratibu?

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala ya Uchambuzi wa Sheria .9 tuliangalia kwa mapana juu ya haki ya Ujira ambayo anastahili mfanyakazi. Haki hii hutokana na kazi ambayo anaifanya mfanyakazi na makubaliano waliyoafikiana na mwajiri. Hata hivyo kumekuwa na malalamiko mbalimbali ya wafanyakazi juu […]

Sheria Leo. Mambo 5 Muhimu ya Kisheria Kuzingatia 2019

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tumeukaribisha mwaka mpya wa 2019, tunamshukuru Mungu aliyetupa kibali kuvuka salama hata sasa. Makala ya leo ni […]

Sheria Jinai.3. Kwa nini watu hawatoi taarifa za Kijinai?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wetu na mfuatiliaji wa makala mbali mbali za mtandao wa uliza sheria. Katika makala iliyopita tuliangalia wajibu wa kutoa taarifa juu ya makosa ya jinai. Leo tunakwenda kujibu swali kwa nini watu hawatoi taarifa za Kijinai. Karibu ndugu msomaji tujufunze. Wajibu wa Kutoa taarifa Katika makala iliyotangulia tuliweza kuona ya […]

Sheria Jinai.2. Wajibu wa Kutoa Taarifa za Makosa ya Jinai

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wetu na mfuatiliaji wa makala mbali mbali za mtandao wa uliza sheria. Katika makala iliyopita tulipata utangulizi juu ya sheria hii ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai. Leo tunaangazia juu ya Wajibu wa Kutoa Taarifa za Makosa ya Jinai. Karibu ndugu msomaji tujufunze. Taarifa Msingi wa Mwenendo wa Makosa Sheria […]