Entries by ulizasheria

52. Kudharau Mamlaka ya Mwajiri

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeona juu ya Utoro Uliokithiri au Kutelekeza Kazi. Leo tunaangalia juu kosa la Kudharau Mamlaka ya Mwajiri. Karibu tujifunze. Maana ya Kudharau Mamlaka ya Mwajiri Kudharau mamlaka ya mwajiri ni aina nyingine ya utovu wa nidhamu anaoweza […]

51. Utoro Uliokithiri au Kutelekeza Kazi

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeona juu ya aina nyingine za Utoro Kazini. Leo tunaangalia juu Utoro Uliokithiri au Kutelekeza Kazi. Karibu tujifunze. Maana ya Kutelekeza Kazi Kutelekeza kazi ni aina ya utoro uliokithiri wa kazi unaojitokeza pale mfanyakazi anapoacha kuja kazini […]

Upi ni ukomo wa mashauri ya Ardhi?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunajibu swali la msomaji wetu kuhusiana na suala la umiliki na ukomo wa mashauri ya ardhi. Karibu […]

50. Aina nyingine za Utoro Kazini

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeona juu ya Hatua za Kuchukua kushughulikia Utoro Kazini. Leo tunaangalia juu ya aina nyingine ya utoro kazini. Karibu tujifunze. Aina nyingine za Utoro kazini Katika makala zilizotangulia tumeona juu ya utoro kazini unaohusisha kutokufika kazini kwa […]

Happy Birthday Uliza Sheria

Utangulizi  Habari za leo ndugu yangu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wa Ulizasheria. Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa nafasi hii tuliyopewa leo kuadhimisha mwaka mmoja katika kazi ya kutoa elimu na ushauri kwa masuala ya kisheria. Utakumbuka ndugu yangu msomaji mnamo tarehe 20th August 2017 tuliwakaribisha wote kufuatilia blog yetu hii ya uliza […]

49. Hatua za kuchukua kushughulikia Utoro Kazini

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tuliona juu ya mojawapo ya sababu ya mfanyakazi kuweza kuachishwa kazi ni suala la Utoro Kazini. Leo tunaangalia ‘Hatua za Kuchukua kushughulikia Utoro Kazini’. Karibu tujifunze. Namna ya kushughulikia Utoro kazini Kama tulivyoona katika makala iliyopita juu […]

Mauzo ya Mali za Mirathi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunajifunza juu ya mauzo ya mali za mirathi. Karibu tujifunze kwa pamoja. Mali za Mirathi Katika masuala […]

48. Makosa ya Utovu wa Nidhamu – Utoro Kazini

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika eneo mojawapo linalopelekea usitishwaji wa ajira ni Utovu wa Nidhamu yaani ‘misconduct’. Katika makala zilizopita tuliweza kuona nini maana ya utovu wa nidhamu na utaratibu unaoweza kutumika kuachisha kazi kwa utuvu wa nidhamu. Leo tunaanza kuangalia baadhi ya makosa […]

Biashara Sheria.10. Je, Mkataba ni muhimu kwenye Biashara?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Ukurasa huu umekuwa mahsusi kwa ajili ya uchambuzi wa mambo mbalilmbali yanayomwezesha mtu au kikundi kuwa na namna bora ya kuanzisha na kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mujibu wa sheria. Leo tunakwenda kujifunza juu ya Umuhimu wa Mkataba wa kwenye Biashara. Karibu tujifunze. […]

Biashara Sheria.9. Usajili wa Biashara

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Ukurasa huu umekuwa mahsusi kwa ajili ya uchambuzi wa mambo mbalilmbali yanayomwezesha mtu au kikundi kuwa na namna bora ya kuanzisha na kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mujibu wa sheria. Leo tunakwenda kuangalia utaratibu wa kisheria wa kusajili biashara. Karibu tujifunze. Usajili wa […]