Entries by ulizasheria

58. Utaratibu wa Kushughulikia Nidhamu Kazini

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeona juu ya kujiuzulu kwa hila. Leo tunaangalia juu ya Utaratibu wa Kushughulikia Nidhamu Kazini. Karibu tujifunze. Nidhamu Kazini Ni matarajio baina ya mwajiri na mfanyakazi kuwa mahali pa kazi ni kwa ajili ya kuzalisha. Hata hivyo […]

Sheria Leo. Je, Unamshtaki Nani?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu wa Sheria Leo kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunajiuliza swali muhimu sana katika masuala ya mashauri ya mahakamani Je, unamshtaki nani?. Karibu tujifunze. Mfumo wa […]

57. Athari za Kujiuzulu kwa Hila

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeangalia juu ya Kujiuzulu kwa Hila ambapo waajiri wengu wamekuwa wakiwashawishi wafanyakazi kuchukua maamuzi hayo. Leo tunaangalia juu ya ‘Athari Kujiuzulu kwa Hila’ Karibu tujifunze. Kujiuzulu kwa Hila Katika makala iliyopita tumeweza kuona kuwa mfanyakazi anaweza kushawishiwa […]

56. Kujiuzulu kwa Hila

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Mfululizo wa makala zilizopita ulielezea juu ya makosa mbalimbali ambayo yanaweza kupelekea usitishwaji wa ajira ya mfanyakazi. Leo tunaangalia juu ya ‘Kujiuzulu kwa Hila’ Karibu tujifunze. Maana ya Kujiuzulu Sheria ya Kazi na Ajira inatambua kuwa mfanyakazi anaweza kusitisha ajira […]

Sheria Jinai.1. Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Kijinai

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wetu na mfuatiliaji wa makala mbali mbali za mtandao wa uliza sheria. Kutokana na mahitaji ya wasomaji na maswali kadhaa ambayo tumekuwa tukiyapokea na kuyajibu mara kwa mara kumejitokeza uhitaji wa ufafanuzi hasa katika masuala ya makosa ya Kijinai. Watu wengi wamekuwa wakiguswa kwa namna moja ama nyingine na maswala […]

54. Utendaji chini ya Kiwango

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeona juu yaUzembe Unaoathiri Utendaji wa Kazi. Leo tunaangalia juu kosa la Utendaji chini ya Kiwango. Karibu tujifunze. Utendaji wa Kaza chini ya Kiwango Sheria ya Kazi na Ajira inatambua kuwa mfanyakazi anaweza kuachishwa kazi kwa utendaji […]

53. Uzembe unaoathiri utendaji wa kazi

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeona juu ya Utoro Uliokithiri au Kutelekeza Kazi. Leo tunaangalia juu kosa la Uzembe unaoathiri utendaji wa kazi. Karibu tujifunze. Utendaji wa Kazi Usioridhisha Sheria ya Kazi na Ajira inatambua kuwa mfanyakazi anaweza kuachishwa kazi kwa utendaji […]

Biashara Sheria.12. Sifa za Mkataba Halali Kisheria

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji wa ukurasa wetu wa Biashara Sheria. Ukurasa huu umekuwa mahsusi kwa ajili ya uchambuzi wa mambo mbalilmbali yanayomwezesha mtu au kikundi kuwa na namna bora ya kuanzisha na kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mujibu wa sheria. Leo tunaanza kujifunza juu ya sifa zinazosababisha mkataba kuwa halali kisheria. Karibu tujifunze. […]