22. Usitishaji wa Ajira kwa Wafanyakazi katika kipindi cha Majaribio.
Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Leo tunaangalia juu ya usitishaji wa Ajira kwa wafanyakazi walio katika kipindi cha majaribio. Karibu tujifunze. Ajira na Kipindi cha Majaribio (Probation Period) Sheria ya Ajira inatambua hitaji la mwajiri katika kumpima mfanyakazi endapo anakidhi viwango na vigezo vya kumwajiri […]
You must be logged in to post a comment.