19. Kigezo cha Kuzingatia Vipengele vya Mkataba katika kusitisha Ajira
Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi, tumeendelea kuwa pamoja kwa kipindi chote hiki. Makala iliyopita tuliangalia kigezo cha Utaratibu wa Haki katika kusitisha ajira kihalali. Katika makala ya leo tunaangalia kigezo kingine cha Kuzingatia Vipengele vya Mkataba. Karibu tujifunze. Maana ya Vipengele vya Mkataba Mahusiano ya […]
You must be logged in to post a comment.