Entries by ulizasheria

Zipi sifa za Msimamizi wa Mirathi?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunaendelea kujifunza na mfululizo wa makala zinazohusu masuala ya mirathi. Karibu tujifunze kwa pamoja. Msimamizi wa Mirathi Msimamizi wa mirathi […]

Nini Kifanyike endapo mtu atafariki pasipo wosia?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu  kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunaendelea kujifunza na mfululizo wa makala ambayo tulianza hapo. Karibu tujifunze kwa pamoja. Hatua za kuchukua katika mirathi ya mtu […]

Nini Kifanyike endapo mtu atafariki pasipo wosia?

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu  kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunaendelea kujifunza mambo kadhaa ya umuhimu katika sheria za mirathi. Karibu tujifunze kwa pamoja. Msingi wa somo la leo Mara […]

24. Usitishaji wa Ajira kwa Mgomo usio Halali

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Leo tunaendelea kuangalia juu ya usitishaji wa Ajira kwa kushiriki mgomo usio halali. Karibu tujifunze. Maana ya Mgomo Mgomo ni usimamishaji wa kazi unaofanywa na wafanyakazi kwa lengo la kumlazimisha au kumshurutisha mwajiri wao kukubali madai ya wafanyakazi au mwajiri […]

Utaratibu wa Umiliki wa Ardhi kwa njia ya Uvamizi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tuliangalia juu ya njia ya Kusafisha eneo. Leo tunaendelea na mfululizo wa uchambuzi wa njia ya Kuvamia. Karibu […]

Utaratibu wa Umiliki wa Ardhi kwa njia ya Kusafisha Eneo

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tuliangalia juu ya njia ya Serikali kwa kupewa Hati ya Umiliki wa ardhi. Leo tunaendelea na mfululizo wa […]

Utaratibu wa Umiliki wa Ardhi kwa njia ya Serikali

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tuliangalia juu ya njia ya Zawadi. Leo tunaendelea na mfululizo wa uchambuzi wa njia ya Serikali. Karibu tujifunze. […]

Utaratibu wa Umiliki wa Ardhi kwa njia ya Zawadi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tuliangalia juu ya njia Familia au Ukoo. Leo tunaendelea na mfululizo wa uchambuzi wa njia ya umiliki kwa Zawadi. Karibu tujifunze. […]

23.C. Usitishaji wa Ajira kwa Utovu wa Nidhamu

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi. Leo tunaendelea kuangalia juu ya usitishaji wa Ajira kwa Utovu wa Nidhamu sehemu ya 3. Karibu tujifunze. Utovu wa Nidhamu Katika makala iliyopita tuliweza kuangalia juu ya sababu ya kihalali inayoweza kusababisha mfanyakazi kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Tumechambua mambo ya […]

Utaratibu wa Umiliki wa Ardhi kwa njia ya Familia au Ukoo

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tuliangalia juu ya njia mbalimbali za umiliki wa ardhi katika nchi yetu ya Tanzania. Leo tunaendelea na mfululizo […]