47.B. Madai Mengine Muhimu katika Usitishaji wa Ajira
Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji wa makala za uchambuzi wa sheria ya Kazi. Katika makala iliyopita tumeanza kuchambua hoja na swali linalohusu aina na dai au madai ambayo mfanyakazi anaweza kudai endapo ataachishwa kazi isivyo kihalali. Leo tunaendelea kuangalia juu ya Madai Mengine Muhimu wakati wa Usitishaji wa Ajira Nini unaweza kudai endapo umeachishwa kazi […]
You must be logged in to post a comment.