Utaratibu wa Umiliki wa Ardhi kwa njia ya Urithi
Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa mtandao wako wa Uliza Sheria. Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tuliangalia juu ya njia mbalimbali za umiliki wa ardhi katika nchi yetu ya Tanzania. Leo tunakwenda kuanza mfululizo wa uchambuzi wa […]
You must be logged in to post a comment.