42. Mamlaka ya Mahakama ya Kazi
Utangulizi Karibu tena ndugu msomaji wa makala za uchambuzi wa sheria ya Kazi. Tunaendelea kuchambua sheria hii yenye mahusiano ya mfanyakazi na mwajiri katika mfululizo wa makala. Katika makala zilizopita tulikua tukichambua masuala ya nafuu za kisheria endapo Tume itaamua kuwa usitishwaji wa ajira haukua halali. Leo tunaangalia mchakato wa utatuzi wa migogoro ya kazi […]
You must be logged in to post a comment.