Entries by ulizasheria

Uhuru wa Mtu kuamini Dini atakayo

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz . Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya Uhuru wa Mawazo. Leo tunaendelea na mfululizo makala juu ya haki mbali mbali za kibinadamu […]

13. Migomo

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi, tumeendelea kuwa pamoja kwa kipindi chote hiki. Makala iliyopita tuliweza kuangalia kuhusu Majadiliano ya Pamoja ambapo chama cha wafanyakazi kinaweza kuwa wakala wa wafanyakazi kujadiliana na mwajiri kwa lengo la kuboresha mahusiano na maslahi ya pande zote. Katika makala ya […]

Haki ya Uhuru wa Mawazo

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu  kwenye mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz . Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya Uhuru wa Mtu kwenda atakako. Leo tunaendelea na mfululizo makala juu ya haki mbali mbali […]

12.B. Majadiliano ya Pamoja

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiishambua Sheria ya Kazi, tumeendelea kuwa pamoja kwa kipindi chote hiki. Makala iliyopita  tulijifunza sehemu ya kwanza ya Majadiliano ya pamoja. Leo tunakwenda kuona sehemu ya pili ya majadiliano ya pamoja. Karibu tujifunze.   Wajibu wa Kujadiliana kwa nia njema Pande zote zinazohusika na […]

Uhuru wa Mtu kwenda atakako

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz . Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya Haki ya Faragha. Leo tunaendelea na mfululizo makala juu ya haki mbali mbali za kibinadamu […]

Haki ya Faragha na Usalama wa Mtu

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz . Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tulijifunza juu ya Haki ya Uhuru  wa Mtu Binafsi. Leo tunaendelea na mfululizo makala juu ya haki mbali […]

Haki ya Uhuru wa Mtu Binafsi

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz . Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Katika makala iliyopita tulijifunza zaidi juu ya Haki ya Kuishi na Adhabu ya Kifo. Leo tunaendelea na mfululizo makala juu ya […]

12.A. Majadiliano ya Pamoja

Utangulizi Ndugu msomaji wa makala za Uchambuzi wa Sheria ambapo tumekuwa tukiichambua Sheria ya Kazi, tumeendelea kuwa pamoja kwa kipindi chote hiki. Makala iliyopita  tulijifunza juu ya Haki za Chama cha Wafanyakazi na kuzijadili nama zinavyoweza kutekelezwa. Leo tunakwenda kuangalia juu ya Majadiliano ya Pamoja. Karibu tujifunze. Maana ya Majadiliano ya Pamoja Majadiliano ya pamoja […]

Haki ya Kuishi na Adhabu ya Kifo

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz . Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunakwenda kujifunza zaidi juu ya Haki ya Kuishi na Adhabu ya Kifo. Kama ni mfuatiliaji wa makala hizi niliwahi kuandika […]

Haki ya Usawa mbele ya Sheria

Utangulizi Karibu sana ndugu msomaji na mfuatiliaji wa ukurasa huu kwenye mtandao wako wa www.ulizasheria.co.tz . Kama kawaida yetu lengo la kukuletea makala hizi fupi ni kukusaidia kuishi kwa mujibu wa sheria kila siku. Leo tunakwenda kujifunza juu ya Haki ya Usawa mbele ya Sheria. Jana tulijifunza juu ya Haki ya Usawa ambapo tuliona binadamu […]